Baraza la Maaskofu KKKT lamtenga Askofu Malasusa
Kikao cha maaskofu 25 chamtuhumu kusaliti waraka.
Hatoruhusiwa kuwakilisha kanisa popote, uamuzi wa mwisho mikononi mwa dayosisi yake.
"Kiini cha tuhuma hizo za Usaliti dhidi Askofu Malasusa, kinaelezwa kuwa ni uamuzi wake wa kuzuia waraka wa Pasaka ulioandaliwa na Maaskofu 27 wa wa Kanisa hilo, usisomwe katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani anayoiongoza".
Chanzo: MTANZANIA
No comments: